Featured

    Featured Posts

STAMICO YAINGIA MKATABA WA KIHISTORIA NA KAMPUNI YA ABSA UCHIMBAJI MAKAA YA MAWE +video

Naibu Waziri wa Madini, Dkt Steven Kiruswa akishuhudia Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini Tanzania, STAMICO, Dkt. Venance Mwase (kushoto) akibadilishana hati na  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya ABSA Commodities, Bw.Gerges Schmickrath baada ya kutiliana saini mkataba wa uchimbaji makaa ya mawe mkoani Songwe.
Wakitiliana saini mkataba

Waandishi wa habari na watumishi wa Stamico
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Drumlin, LinusiSeushy  mtanzania ambaye ameingia mkataba na ABSA kusafirisha makaa ya mawe kutoka kwenye machimbo Kiwira mkoani Songwe hadi Bandari ya Mtwara kwa kutumia malori yake 3000.


Seushy amesema kuwa wamejiandaa kuhakikisha kila kitu kinafanyika kama kilivyopangwa kwakuwa ni jambo la kihistoria kwa nchi.



Meneja Masoko wa Stamico, Gefrey Meena akiongoza hafla hiyo
Wakionesha mkataba
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya ABSA Commodities, Bw.Gerges Schmickrath akipongezana na mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo, Warter Nyaki
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya ABSA Commodities, Bw.Gerges Schmickrath akipongezana na Seushy
Gheorghe Stan na Warter Nyaki wa Kampuni ya ABSA wakiwa na furaha
Wakiwa katika picha ya pamoja
Naibu Waziri Kiruswa akiagana na  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya ABSA Commodities, Bw.Gerges Schmickrath

 Naibu Waziri Kiruswa akiagana  na Seushy


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video ujue yaliyojiri wakati wa hafla hiyo....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana