Featured

    Featured Posts

WABUNGE 19 WA VITI MAALUMU KUENDELEA KUPETA BUNGENI+video

                                       

Wabunge wa Viti Maalumu wa waliotimuliwa na CHADEMA, wataendelea kupeta bungeni hadi uamuzi wa Mahakama utakapotolewa. Taarifa hiyo imetolewa na Spika wa Bunge, Dkt Tulia Ackson wakati wa kikao cha Bunge leo jijini Dodoma.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Spika Tulia akitoa taarifa hiyo....



 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana