Featured

    Featured Posts

WIZARA YA ELIMU IMETENGA SH. BILIONI 5 KUENDELEZA WABUNIFU NCHINI +video


Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi  na Teknolojia, Profesa Eliamani Sedoyeka akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina ya siku moja kuhusu uelewa wa Wiki ya Ubunifu Tanzania 2022 kwenye ukumbi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA), jijini Dodoma Mei 4, 2022. Prof, Sedoyeka amewaomba wanahabari kusaidia kuhamasisha wabunifu na wananchi kwenda  katika maonesho ya Wiki ya Ubunifu yanayotarajia kuanza Mei 15 hadi 20, 2022 jijini Dodoma.

Serikali kwa mwaka ujao wa 2022/2023  imetenga sh. bil. 5 kuendeleza ubunifu nchini.


Meneja wa Mfuko wa Funguo Innovation kutoka Shirika la MPango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Joseph Manirakiza akielezea mada kuhusu ubunifu wakati wa semina hiyo.


Mkurugenzi wa Sayansi, Teknoloji na Ubunifu wa wizara hiyo, Profesa Maulilio Kipanyula akifafamua jambo kuhusu maendeleo ya ubunifu nchini.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Silvia Lupembe akitoa utambulisho wa viongozi waliokaa meza kuu.
Mkurugenzi Msaidizi wa  Sayansi na Teknolojia wa wizara hiyo, Alexander Mtawa akielezea kuhusu maandalizi ya Wiki ya Ubunifu Tanzania 2022 inayotarajiwa kuanza Mei 15 hadi 20 jijini Dodoma.




Mtangazaji wa Uhuru FM, Sakina Abdulmasoud akitoa shukrani kwa niaba ya waandishi wa habari waliohudhuria semina hiyo.

Waandishi wa habari wakiwa kwenye semina hiyo ya kuwajengea uelewa kuhusu Wiki ya Ubunifu.





PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, ujue kilichozungumzwa katika semina hiyo...







IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana