Mbunge wa Jimbo la Chalinze ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete akipokea msaada toka Taasisi ya #DorisMollel ambayo imechangia vifaa tiba vyenye thamani ya Shilingi Milioni 12 kwa hispitali ya Wilaya Chalinze kusaidia watoto wachanga wenye shida ya kupumua. Kwa niaba ya Wana-Chalinze , tunawashukuru sana. #KaziInaendelea #SSH



Post a Comment