Katika ziara hiyo, Mwanukuzi amewahamasisha pia utoaji elimu ya sensa na kumuunga mkono mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayofaifanya ya kuijenga nchi. PICHA NA ASHRACK MIRAJ
DC MWANUKUZI AFANYA ZIARA YA MTAA KWA MTAA KUHAMASISHA SENSA KOROGWE
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basilla Mwanukuzi akiwa ameambatana na wakuu wa idara tofauti kwenye ziara yake ya Mtaa kwa Mtaa kusikiliza kero za wananchi na kuzipatia utatuzi katika Kata ya Rwengela relini.
Post a Comment