Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete akijadiliana jambo na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika kikao cha kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Waziri Mkuu wa JMT ofisini kwake na timu ya watendaji wa Mkoa Dar es Salaam na Halmashauri ya Kinondoni wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya Ndg GodwinGondwe. Ushirikiano ndiyo nguzo #KaziInaendelea #SSH
Post a Comment