Featured

    Featured Posts

DC MWANUKUZI AIKABIDHI TAWA MENO YA TEMBO ALIYEKUTWA AMEKUFA

Mkuu wa wilaya ya Korogwe, Basilla Mwanukuzi akikabidhi pembe za ndovu kwa Askari wa  Wanyapori (TAWA) ili ziweze kufika makao makuu baada ya kupokea taarifa ya kuonekana kwa tembo ambaye amekufa kwa ugonjwa wa kawaida  katika kijiji cha Makayo wilayani humo.




 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana