Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akihutubia baada ya kushiriki kuhamashisha #Sensa2022 Wilaya ya Bagamoyo ambapo amewashukuru wadau wote waliofanikisha.
"Wito wangu tuhakikishe tunajitokeza kuhesabiwa kwa maendeleo ili kumuunga mkono Rais wetu Mh. SuluhuSamia" #SensaYaMaendeleo #KaziInaendelea








Post a Comment