Featured

    Featured Posts

DITOPILE: RAIS TUNAKUOMBA UKUTANE NA WAKULIMA UTETE NAO+video

 

Mbunge wa Viti Maalumu, Mariam Ditopile amemshkuru Rais Samia Suluhu Hassan kuwajali wakulima akiwemo yeye kuwapatia mbolea ya ruzuku jambo ambalo limewapunguzia mzigo.
Aidha, Ditopile akizungumza na vyombo vya habari jijini Dodoma Agosti 21,2022, amemuomba Rais kama ataona inapendeza kukutana na wakulima kujadili kwa kina mambo yao kama alivyofanya alipokutana na vijana, wamachinga, wanawake na makundi ya kada nyingine.
Waandishi wa habari wakiwa makini kumsikiliza  Ditopile


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Ditopile akitoa shukrani hizo....


 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana