Featured

    Featured Posts

MAANDALIZI YA SENSA YAMEFIKIA KIWANGO CHA ASILIMIA 95+video

 

Mkurugenzi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dkt Albina Chuwa akielezea kuhusu maandalizi ya sensa ya watu na makazi katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma Agosti 11, 2022 ambapo alisema hadi sasa kiwango cha maandalizi hayo kimefikia asilimia 95
Sehemu ya wanahabari wakiwa katika mkutano huo.

PICHA NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Chuwa akielezea kuhusu maandalizi hayo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana