Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule (anayeendesha mashine ya kisasa ya kupanda mbegu) amesema kuwa licha ya mkoa whuo kuwa kame, atahakikisha anahamasisha matumizi ya teknolojia za kisasa ili uwe miongoni mwa mikoa inayozalisha mazao kwa wingi nchini.Aidha amesema kuwa amepokea kijiti kutoka kwa mtangulizi wake kwa kuendeleza Dodoma kutokuwa na njaa. Amesyasema hayo alipokuwa akihutubia katika kilele cha Maonesho ya Kilimo ya Nane Nane Kanda ya Kati jijini Dodoma Agosti 8, 2022.
Akikagua moja ya mashamba darasa katika viunga vya maonesho vya Jeshi la Magereza
PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, akielezea kuhusu mikakati yake hiyo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment