Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete (katikati) akishuhudia makabidhiano ya mikataba baada ya kutiliana sahihi makubaliano (MOU) kati ya tmrctanzania na Habitat_org kutafuta ufumbuzi wa tatizo la nyumba kwa watu wa kipato cha Chini, Serena , Dar Es Salaam leo 17 Agosti 2022. #KaziInaendelea #SSH #ArdhiYetu
Ridhiwani akitoa salamu za wizara wakati wa hafla hiyo.
Post a Comment