Featured

    Featured Posts

TAMBAZA YOUTH ACADEMY KUFANYA MAJARIBIO LEO NA KESHO KWA WACHEZAJI WANAOTAKAKUICHEZEA TIMU HIYO

   Timu ya Tambaza Youth Academy  inayoshiriki Ligi Daraja la Tatu Mkoa wa Ilala itafanya Majaribio Kwa Wachezaji wanaotaka Kuichezea Timu hiyo Kwenye Ligi Daraja la Tatu inayotarajia kuanza Mwanzo mwa Mwezi wa Tisa.

Majaribio hayo yatafanyika katika Uwanja wa Msimbazi Rovers leo Jumatu na  kesho Jumanne kuanzia Saa Nane mchana hadi saaa Kumi Jioni.

Na Mwandishi wetu Tambaza Youth Academy
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana