Featured

    Featured Posts

MAMIA WAJITOKEZA JKCI KUFANYIWA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO

 

  Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Dar es Salaam        wa kisoma jarida la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete wakati wa upimaji wa magonjwa ya moyo na kisukari bila malipo katika kuadhimisha siku ya moyo duniani iliyofanyika katika viwanja vya Taasisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
    MtafitikutokaTaasisiyaMoyoJakayaKikwete (JKCI) Neema Kailembo akimfanyia usajiri mwananchi aliyefika kwaajili ya kufanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo na kisukari wakatiwa kuadhimisha siku ya moyo dunia iiliyofanyika katika viwanja vya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete leo Jijini Dar es Salaam
Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Happy Mulagwa akimpima wingi wa sukari mwili  mwananchi aliye fika katika viwanja vya Taasisi hiyo kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo na kisukari wakati wa kuadhimisha siku ya moyo duniani leo Jijini Dar es Salaam.
 Afisa Uuguzi waTaasisi ya Moyo Jakaya Kikwete( JKCI) Mali Sabuni akimpima shinikizo la damu mwananchi aliyefika katika viwanja vya Taasisi hiyo kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo na kisukari wakati wa kuadhimisha siku ya moyo duniani leo Jijini Dar es Salaam
  Daktari kutokaTaasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Felister Mgare akimsikiliza mwananchi aliyefika katika viwanja vya Taasisi hiyo kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wamagonjwa ya moyo na kisukari wakati wa kuadhimisha siku ya moyo duniani leo Jijini Dar es Salaam
  
  Mfamasia kutoka kampuni ya dawa za binadamu ya Zydus Salome Vitali akimwelezea namna ya kutumia dawa mwananchi aliyefika katika viwanja vyaTaasisi hiyo kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo na kisukari wakati wa kuadhimisha siku ya moyo duniani leo Jijini Dar es Salaam
   Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) George Longopa akizungumza na baadhi ya wagonjwa waliowahikufanyiwa upasuaji wa moyo katikaTaasisi hiyo wakati wa upimaji wa magonjwa ya moyo na kisukari bila malipo katika kuadhimisha siku ya moyo duniani iliyofanyika katika viwanja vyaTaasisi hiyo leo Jijini Dar esSalaam
Mjumbe kutoka chama cha Moyo ni Uhai (MOU) kinacho waunganisha wagonjwa waliowahi kufanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete Kabila Mbwama akiwaonesha wagonjwa wa moyo waliolazwa katika Taasisi hiyo sehemu aliyofanyiwa upasuaji wakati wa upimaji wa magonjwa ya moyo na kisukari katika kuadhimisha siku ya moyo duniani leo katika Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana