Rais Mstaafu wa awamu ya saba wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein, leo Jumapili Septemba 04 alikuwa miongoni mwa viongozi waliofika Chukwani Unguja kumpa pole na kumfariji Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, ambaye hivi karibuni alifiwa na mwanawe Hassan kaka wa Dk. Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Post a Comment