Featured

    Featured Posts

CHONGOLO ANG'ARA KIGAMBONI, AWEKA JIWE LA MSINGI UJEZI OFISI YA CCM YA WILAYA NA NYUMBA YA KATIBU WA CCM MKOA WA DSM, LEO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo akiwasili Ofisi ya CCM Wilaya ya Kigamboni eneo la Somangira kwenye hafla ya kuweka jiwe la msingi wa ujenzi wa ofisi hiyo, leo. Kulia kwake, wa kwanza ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Kate Kamba na Wapili ni Katibu wa CCM Wilaya hiyo ya Kigamboni Stanley Mkandawile na kushoto kwake ni Katibu wa CCM mkoa huo Adam Ngalawa.

Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo akisalimiana na Viongozi baada ya kuwasili kwenye hafla ya kuweka jiwe la msingi wa ujenzi wa ofisi hiyo ya CCM Wilaya ya Kigamboni.

Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo akizungumza baada ya jiwe la msingi wa ujenzi wa ofisi hiyo ya CCM Wilaya ya Kigamboni.
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo akiongoza Viongozi wengine wa CCM mkoa wa Dar es Salaam na Wilaya ya Kigamboni kukata utepe wakati wa hafla ya kuweka jiwe la msingi la mwendelezo wa ujenzi wa nyumba ya Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Somangila, Wilayani Kigamboni, leo.
Katibu Mkuu wa CCM akifurahi baada ya kufungua jiwe la Msingi la muendelezo wa Ofisi hiyo ya CCM Wilaya ya Kigamboni. Pamoja naye ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Kate Kamba.
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo akifurahia jambo na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Kate Kamba wakati wa hafla hiyo
Katibu wa CCM Wilaya ya Kigamboni Stanley Mkandawile akizungumza katika hafla hiyo.
Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Adamu Ngalawa akizungumza katika hafla hiyo.
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo akizungumza kwenye hafla hiyo.
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo akiwa na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati wa hafla ya kuwela jiwe la msingi wa nyumba ya Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam. 

©October 2022 CCM Blog/Bashir Nkoromo

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana