Magazeti ya leo, gazeti la mwananchi, global publisher, habari leo, habari mpya, ippmedia,magazeti ya leo tanzania, magazeti ya udaku, michuzi, michuzi blog, mpekuzi huru, mwananchi, mwanaspoti,nipashe, sekretarieti ya ajira
Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Mavere Tukai amesema kuwa mpango wa kusambaza dawa kwa kutumia ndege isiyo na rubani aina ya Drone si kipaumbele chao kikubwa, bali kipaumbele ni kuhakikisha dawa zinapatikana kwa wingi nchini.AAmebainisha hilo alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari -MAELEZO jijini Dodoma Oktoba 17, 2022, kuhusu utekelezaji wa majukumu ya bohari hiyo.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO, Gerson Msigwa akihitimisha mkutano huo kwa kutoa pongezi kwa Mkurugenzi Mkuu wa MSD kwa kueleza na kufafanunua vizuri majukumu ya bohari hiyo.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Tukai pamoja na mambo mengine akielezea kuhusu mpango huo wa Drone kupata kifafa....
Post a Comment