Featured

    Featured Posts

TANZIA


  Mkurugenzi Mtendaji Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge anasikitika kutangaza kifo cha Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa ndani CPA, Zawadi Salum Halfani kilichotokea usiku wa Oktoba 6, 2022 katika Hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Mkurugenzi wa Fedha na Mipango Taaasisi ya Moyo , Agnes Kuhenge akisaini kwenye kitabu cha maombolezo katika Taasisi hiyo Jijini Dar Salaam.
Mwenyekiti wa SACCOS ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Tulizo Shemu akisaini kwenye kitabu cha maombolezo katika Taasisi hiyo Jijini Dar Salaam. 

  Mwenyekiti wa SACCOS ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Tulizo Shemu akisaini kwenye kitabu cha maombolezo katika Taasisi hiyo Jijini Dar Salaam. 

  Muuguzi Taasisi ya Moyo ,  akisaini kwenye kitabu cha maombolezo katika Taasisi hiyo Jijini Dar Salaam.   Hildegand Karau
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana