Wataalam wa magonjwa ya moyo kwa watu wazima wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka Shirika la Madaktari Afrika la nchini Marekani wakifanya upasuaji wa bila kufungua kifua kwa kupasua sehemu ndogo kwenye paja kwa kutumia mtambo wa Cathlab kuzibua Valvu ya moyo (Valve Intervention - Mitral Valve balloon Valvuloplasty Procedure) kwa mgonjwa ambaye valvu yake imeziba na kushindwa kupitisha damu katika kambi maalum ya matibabu ya moyo ya siku nne inayoendelea katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Post a Comment