Magazeti ya leo, gazeti la mwananchi, global publisher, habari leo, habari mpya, ippmedia,magazeti ya leo tanzania, magazeti ya udaku, michuzi, michuzi blog, mpekuzi huru, mwananchi, mwanaspoti,nipashe, sekretarieti ya ajira
Serikali kupitia Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW), imewarejesha shuleni zaidi ya wanafunzi 3000 walioshindwa kuendelea na elimu ya sekondari kutokana na matatizo mbalimbali likiwemo la kupata mimba za utotoni. Hilo limebainishwa na Mkurugenzi wa Taasisi hiyo, Dkt. Michael Ng'umbi katika mkutano na vyombo vya habari kwenye Idara ya Habari MAELEZO jijini Dodoma Oktoba 24,2022, akielezea utekelezaji wa majukumu yao na vipaumbele kwa mwaka 2021/2022.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari-MAELEZO, Zamaradi Kawawa akisema neno la utangulizi wakati wa kuanza mkutano huo
Baadhi ya wanahabari wakisikiliza kwa makini wakati wa mkutano huo.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Ng'umbi pamoja na mambo mengine akielezea urejeshwaji wa wanafunzi hao.....
Post a Comment