Featured

    Featured Posts

HOSPITALI SAME YAHAMASISHA UCHANGIAJI DAMU SALAMA

 Hospital ya wilaya ya Same imetoa Elimu ya  uhamasishaji na uchangiaji Damu salama kwa hiari lengo ni kusaidia wagonjwa ambao wanapungukiwa damu hasa wale wanaopata ajali na wamama wajawazito wakati wa kujifungua hili kupungaza vifo vinavyo tokana na upungufu wa Damu 


Hayo yamesemwa na Mganga mkuu wa wilaya ya Same Doctor Alex kwenye Maadhimisho ya Uhuru wa miaka 61 ya Tanzania bara amewaomba watanzania kwa ujumla kuwa wazalendo na Taifa  kwa kushirikiana  kwa kudumisha Amani na umoja ni nguzo ya maendeleo yetu 

Aidha Doctor Alex aliwaomba watumishi wote kwenye sekta ya Afya kuwa wazalendo kwenye kutoa huduma za matibabu kuepusha vifo vya kizembe kwa wagojwa 

Aliendelea kusema serikali imejipanga kikamilifu kuakikisha kila kijiji kinapata kituo cha Afya cha kisasa na madawa ya kutosha  lengo ni kuwataka wananchi wake wanapata huduma bora za matibabu na kufanya shughuli zao za kiuchumi na kulijenga Taifa 
  
Pia amewaomba wananchi kwa ujumla kumuunga mkono Raisi Dokt Samiha Suluhu Hassani kwa kazi kubwa anayoifanya kuleta maendeleo kwenye Taifa na kuakikisha wananchi wake wanaishi kwenye mazingira bora na Afya kuwa ujumla




author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana