Featured

    Featured Posts

JK ATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI KUHITIMISHA MAPUMZIKO YAKE YA MWISHO WA MWAKA

Rais Mstaafu Mhe Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amehitimisha mapumziko yake mafupi ya mwisho wa mwaka kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.


Dkt Kikwete, ambaye ameongozana na Mkewe Mama Salma Kikwete katika ziara hiyo,  pia alipata wasaa wa kupita katika Kituo cha Makumbusho ya Bonde la Olduvai na Hifadhi ya Ngorongoro.

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana