Featured

    Featured Posts

WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI WAAPA KIAPO CHA UAMINIFU

Katibu wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Bw. Alex Obatre ameongoza zoezi la kuwaapisha wabunge wapya kutoka Nchi Wanachama saba ambazo ni Tanzania, Burundi, Kenya, Uganda, Rwanda, Sudan Kusini, na Kongo DRC.



Viongozi mbali mbali wakiwemo Mawaziri, wabunge, maspika wastaafu wa bunge  hilo, viongozi wa wandamizi wa serikali na viongozi wa kisiasa wamehudhuria hafla hiyo  akiwemo Makamu Mwenyekiti wa  CCM Tanzania Bara Cde Abdulrahman Kinana pamoja na  Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka.

Matukio katika Picha👇
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana