Rais wa Misri MennaYasser akielezea jinsi anavyopambana kuieneza Lugha ya Kiswahili Duniani. Menna ambaye kuna wakati wamisri walimdhihaki kwa kumwita mjinga alipoamua kuipa kipaumbele kujifunza lugha hiyo, ameeleza hayo wakati wa mkutano na vyombo vya habari jijini Dodoma Novemba 3, 2022, kabla ya Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa James Mdoe kukabidhi bango la lugha ya kiswahili kwa watumishi watakaopeleka katika kilele cha Mlima Kilimanjaro kusherehekea miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania kwa lengo la kubidhaisha lugha hiyo kikanda na kimataifa.
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa James Mdoe akikabidhi bango la lugha ya kiswahili kwa watumishi,Seleman Shamshama na Nestory Owano watakaopeleka katika kilele cha Mlima Kilimanjaro kusherehekea miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania kwa lengo la kubidhaisha lugha hiyo kikanda na kimataifa.
Baadhi ya wanahabari wakisikiliza kwa makini wakati Menna akielezea hayo.Baadhi ya watumi wa wizara hiyo.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Menna akielezea anavyokipambania Kiswahili....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
Post a Comment