Featured

    Featured Posts

MWENYEKITI MPYA UVCCM TAIFA KOMRED KAWAIDA ALAKIWA KWA SHANGWE, NDEREMO MAKAO MAKUU


Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa (UVCCM), Komredi Mohamed Ali Kawaida akivishwa skafu na vijana Green Guard wakati wa mapokezi katika Makao Makuu ya umoja huo jijini Dodoma Novemba 4, 2022.
Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Tanzania Visiwani, Rehema Sombi Omary  akikaribishwa Makao Makuu ya umoja huo baada ya kuvishwa skafu.
Mwenyekiti wa UVCCM, Kawaida (kushoto) akikaribishwa na Makamu Mwenyekiti wa umoja huo Tanzania Bara, Mwakitinya (kulia). Katikati ni Katibu Mkuu wa umoja huo, Kenani Kihongosi.
Kihongosi akiwa na Mwenyekiti, Kawaida pamoja na Makamu Rehema.
Mwenyekiti Kawaida akilakiwa  baada ya kuwasili Makao Makauu ya UVCCM



Mwenyeki wa UVCCM, Kawaida akipanda mti wa kumbukumbu mbele ya jengo la Makao Makuu.
Makamu Mwenyekiti, Rehema akipanda mti wa kumbukumbu.
Kihongosi akipanda mti wa kumbukumbu.
Komredi Kawaida akitia saini kwenye kitabu cha wageni
Katibu wa CCM Mkoa wa Dodoma, Pili Agustino  akiteta jambo na Rehema.
Komredi Kawaida, Rehema na Mwakitinya wakiwasili Makao Makuu ya UVCCM
Wana CCM na wageni waalikwa wakipunga mikono  wakati wa mapokezi ya viongozi hao.


 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana