Featured

    Featured Posts

POLLICY, OMUKA HUB YAFANIKISHA WANAWAKE KUPAISHA BIASHARA ZAO KIDIJITALI+video




Viongozi wa Mashirika yasiyo ya kiserikali ya Omuka Hub na Pollicy, DorIce Kaijaga na Navina Mutabazi wakielezea kuhusu matokeo ya kampeni yao ya siku 16 ya utafiti na mafunzo ya ujuzi kidijitali kwa wanawake wa Mkoa wa Kagera katika mkutano uliohudhuriwa na maafisa wa serikali na wadau jijini Dodoma Disemba 19, 2022. Kampeni yao hiyo ilijikita katika mambo ya changamoto na manufaa ya matumizi ya mitandao pia kuwaelimisha wanawake namna bora ya kutumia mitandao hiyo kuboresha biashara zao.
Dorice Kaijage wa Omuka Huba akielezea uzoefu wa wanawake  mkoani Kagera kuhusu matumizi ya mitandao.


Mratibu wa Miradi wa Pollicy, RachelMagege akifafanua jambo.
Asia Abdallah kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari akitoa pongeza kwa mashirika hayo pamoja na kuchangia hoja ya utoaji wa elimu hiyo ya ujuzi kidijitali kwa wanawake.
Said Ameir Kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu akitoa pongezi kwa mashirika hayo na kuwataka elimu hiyo ienezwe pia katika mikoa mingine nchini.



Baadhi ya wadau
Baadhi ya wananwake kutoka Mkoa wa Kagera

Baadhi ya maafisa kutoka TBS Joyce Msoka, Zawadi Biki wakiwa na  Ester Kagaruki (kulia) kutoka Kagera



 Viongozi wa mashirika hayo, maafisa wa serikali na wadau wakiwa katika picha ya kumbukumbu.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA 

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, kusikiliza viongozi na wadau hao wakielezea kuhusu mafanikio ya kampeni hiyo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana