Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Komredi Christina Mndeme ameibua shangwe na nderemo alipokuwa akihutubia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Walimu Tanzania kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Disemba 15, 2022.
SHANGWE ZARINDIMA CHRISTINA MNDEME AKIHUTUMIA MKUTANO MKUU WA CWT+video

Post a Comment