Featured

    Featured Posts

CHONGOLO AONGOZA KIKAO CHA MAKATIBU WAKUU WA VYAMA RAFIKI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao Kazi cha Makatibu Wakuu wa Vyama Rafiki wanaounda Kamati ya Usimamizi wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere (MJNLS) kilichopo Kibaha kwa Mfipa , kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama Cha SWAPO Komredi Sophia Shaningwa na Kulia ni Mkuu wa Shule hiyo Profesa Marcelina Chijoriga.

(Picha na Adam H. Mzee)

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana