Featured

    Featured Posts

MAPOKEZI YA WAJUMBE WA SEKRETARIETI MPYA YA CCM TAIFA YAFANA DODOMA

Baadhi ya wajumbe wa Sekretarieti mpya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM TAIFA)  wakiongozwa na Katibu Mkuu Daniel Chongolo (waliokaa katikati) wakati wa sherehe za mapokeZi katika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma Januari 24, 2023.

Chongo akivishwa skafu na vijana wa Green Guard wakati wa mapokezi hayo.
Chongolo akipatiwa shada la maua.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Mbarouk Nassoro Mbarouk akipatiwa shada la maua.
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Sophia Edward Mjema akipatiwa shada la maua.
Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Issa Haji Usi Gavu
Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania Bara, Annamringi Macha akipokea zawadi ya shada la maua.

Naibu Katibu Mkuu CCM, Zanzibar, Mohemed Said Dimwa.


Wajumbe wa Sekretarieti

Chongolo akikagua gwaride la Green Guard.
Chongolo akisalimiana na baadhi ya viongozi.
Baadhi ya wakuu wa wilaya, viongozi wa dini na makada wa ccm.
Baadhi ya wa wajumbe wa Baraza la Wazee Mkoa wa Dodoma.
Makada wa chama
Baadhi ya wazee wa kimila

Makatibu wa Jumuiya za CCM. Kutoka kushoto ni Kenani Kihongosi (UVCCM),  Gilbert Kalima (WAZAZI) na Philis Nyimbi (UWT).


 Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo akihutubia wakati wa mapokezi hayo.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana