Featured

    Featured Posts

MATIKU: USULUHISHI WA MIGOGORO YA ARDHI NDIYO INAONGOZA OFISI YA MWANASHERIA MKUU+video

Kaimu Mkurugenzi wa Divisheni ya Uratibu na Huduma za Ushauri wa Kisheria Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Sylvia Matiku (pichani kulia) amesema kuwa usuluhishi wa migogoro ya ardhi ndiyo changamoto inayoongoza katika ofisi hiyo. Pamoja na mambo mengine Matiku amelieleza hilo alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari baada ya kutembelea Maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Sheria kwenye viunga vya Nyerere Square jijini Dodoma Januari 27, 2023.



Matiku akiwa banda la Chama Cha Wanasheria Wanawake (TAWLA)


Matiku akipata maelezo kuhusu utendaji wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto.

Matiku akipatiwa zawadi alipotembelea banda la Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto.

Matiku akipokea zawadi alipotembelea Banda la Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Matiku akielezea kuhusu changamoto hiyo...

 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana