Featured

    Featured Posts

WAKUU WAPYA IDARA ZA CCM ZANZIBAR


Na Dismas LYASSA

Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi aongoza kikao cha kwanza cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa  Zanzibar ameteua na kuthibitishwa  kwa majina ya wakuu wa idara za kamati za Maalum na kuthibitishwa na Kikao hicho,Majina ya wakuu wa idara ni kama ifuatavyo:-

(1).Ndugu  Omar Ibrahim Kirupi kuwa Katibu wa kamati maalum ya NEC,Idara ya Organizesheni.

(2) Ndugu Khadija Salum Ally kuwa Katibu wa kamati maalum ya NEC,  idara ya Siasa na Uhusiano wa kimataifa.

(3).Ndugu .Khamis Mbetto Khamis kuwa Katibu wa kamati Maalum ya NEC, Idara ya itikadi na uenezi.


(4)Ndugu .Afadhali Taib Afadhali kuwa Katibu wa kamati maalum ya NEC,idara ya uchumi na fedha.

   Pia kikao hicho kimewateua wajumbe watatu wa kamati ya usalama na maadili  ya kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wafuatao:

(1) Galos Casian Nyimbo

(2)Maua Abeid Daftari

(3)Almin Salmin Amour

 Kikao hicho kimefanyika Afisi kuu CCM  Kisiwandui,Zanzibar.
Jana Jumapili,
29 Januari  2023
Afisi  kuu CCM  Kisiwandui,Zanzibar.



author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana