Featured

    Featured Posts

WAZIRI MKUU ASHUHUDIA WABUNGE, WATUMISHI WAKISHINDANA KULA UBWABWA MAHARAGE+video

Wabunge na Watumishi wa Bunge wakishindana kula ubwabwa maharage wakati wa Bunge Bonanza 2023 huku wakishuhudiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye viwanja vya Shule ya John Merlin, Miyuji jijini Dodoma Januari 28, 2023.Wadhamini wakuu wa bonanza hilo ni Benki ya NMB.

Wabunge wanaume wakipambania ushindi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (wa tatu kushoto) pamoja na viongozi wengine wakishuhudia mashindano ya kula ubwabwa.
Watumishi wa Bunge wanaume wakipambania ushindi.






Wakishangilia baada ya baadhi kushinda kwa kuwa wa kwanza kumaliza kula ubwabwa maharage.


Wabunge wanawake wakiwa kwenye shindano



Watumishi wa Bunge wanawake wakiwa makini kula haraka ili washinde.







 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza/ona  kupitia clip hii ya video, mpambano huo wa kula msosi...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana