Featured

    Featured Posts

ASKOFU CHANDE AMPONGEZA DC SHEKIMWERI KUONGOZA UPANDAJI MITI KANISA LA KARMELI+video

Askofu Evance Chande wa Kanisa la Asemblies of God  la Karmeli, amempongeza Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri kuongoza shughuli ya upandaji miti katika mazingira ya kanisa hilo pamoja na jengo la Afisa  Mtendaji Kata ya Ipagala jijini Dodoma Februari 10, 2023.


Askofu Chande akitoa pongezi kwa DC Shekimweri baada ya kuongoza upandaji miti.

DC Shekimweri akizungumza  na kutoa nasaha kwa wananchi kuwa na tabia ya kupanda miti katika makazi yao.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Askofu Chande akitoa pongezi hizo huku DC Shekimweri akitoa nasaha kwa wananchi...
 
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MSIMAMIZI MKUU KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana