Jumapili iliyopita nilikuwa mkoani Kigoma nikabaahatika kushuhudia tukio ambalo lilishirikisha watu kwa mamia, wa kike na kiume wa rika zote, kutoka mikoa ya Tanzania Bara, Zanzibar na mataifa ya nje.
Tukio hilo lilikuwa ni Ibada ya Hija ya mwaka huu (2023) iliyofanywa na Kanisa Halisi, katika Uwanja wa CCM wa Lake Tanganyika, Kigoma mjini, Siku ya Jumapili, Januari 29, 2023 ambayo ni sawa na 26 Thebeti, Majira Halisi, kwa Kalenda inayofuatwa na Kanisa hilo, lenye Makao yake Makuu, Tegeta Namanga jijini Dar es Salaam.
Ibada iliongozwa na Kiongozi Mkuu wa Kanisa hilo Ndani na Nje ya Taifa la Tanzania, Baba Halisi, ambaye alisema ni Ibada ya Shukrani kwa Chanzo Halisi (Mungu Baba) kushukia Kigoma kwa njia ya Sauti (wahyi), na Mgeni Rasmi alikuwa Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji Fredinand Filimbi ambaye alimuwakilisha Mkuu wa mkoa wa Kigoma.
Baadhi ya Mahujaji wa Hija hiyo walitoka mikoa yote ya Tanzania Bara, Zanzibar, Marekani, Kenya, Uganda, Zambia, Rwanda, Burundi, Malawi na Msumbiji na kushiriki hatua kwa hatua Ibada hiyo mwanzo hadi mwisho, huku wote wakionyesha kuwa wachangamfu tena wenye furaha.
Yapo mengi yaliyonisisimua kuyaona na zaidi kuyasikia kutoka kwa Baba Halisi, ambayo nakuomba uyajue ili uyatafakari; miongoni mwayo ni kusikia kwamba Kanisa Halisi ndilo Kanisa pekee na la kwanza kuasisiwa katika Taifa la Tanzania, baada ya Sauti kusikika Kigoma, na kisha Kanisa hilo kusambaa katika Mataifa mengine,

Lakini je, wewe wa dhehebu lolote uliwahi kujua kwamba Sasa Hija Moja Halisi ni Kigoma na kwamba Kanisa siyo Jengo lenye alama ya Msalaba bali ni vinginevyo? Pengine hayo niliyosema una majibu yake, lakini kwa kuwa nilikuwepo kwenye tukio hilo la Hija hiyo, nitajitahidi kueleza Ibada hiyo ilivyofanyika na alichosema Baba Halisi.
Ilikuwa hivi;
Msafara wake ukiongozwa na Defender Polisi, Baba Halisi aliwasili katika Uwanja wa Lake Tanganyika muda wa saa tisa alasiri, na kukuta Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma-Ujiji akiwa ameshafika! jambo ambalo hata Baba Halisi lilionyesha kumvutia, hadi akasema; "Hija ya mwaka huu, imekuwa ya baraka kubwa mno, tumepokewa kipekee kabisa".
Hapo Uwanjani, Baba Halisi, akakuta Watekeleza Sauti wa Vituo vya Kanisa Halisi vilivyopo mikoa yote na nje ya Nchi wameshajipanga mistari kumpokea rasmi, huku Uzao (Waumini) nao waliofurika Uwanjani wakicheza na kurukaruka huku na huko kwa shangwe na nderemo za kumlaki huku Bendi ya Muziki wa kumuinua Mungu ukipigwa kukoleza kuwasili kwake.
Baada ya Baba Halisi kuketi katika nafasi yake Meza Kuu, akiwa na Mama Halisi na Mgeni rasmi huku nyuma yake (Baba Halisi) akiwepo Mnara Mmoja Halisi kuhakikisha mambo yanaenda sawa, Muziki uliendelea kuhanikizwa na Wasanii akiwemo Msanii mmoja bonge kutoka Zambia.

Baba Halisi alisimama akasema, "Heri Heri mliobarikiwa na Chanzo Halisi (salam ya Kanisa Halisi), ninafuraha kubwa kuwaona. Na namba msisamehe bure kuukatisha muziki, maana naona ulikuwa umekolea sana. hata yule mwimbaji kutoka Zambia mwenye kilo zaidi ya 100 alikuwa anaruka utadhani mwepesi".
"Naomba tushukuru (tufanye maombi), kwa kuwa mgeni ameshafika. leo tumepokewa kwa namna yake, naomba kila mtu ashukuru kwa ajili mgeni kuwepo mahala hapa na pia tushukuru Wananchi wa Kigoma kwa kutupokea na kuwa hapa kila mara hadi tunaodoka salama, tunajua Mungu ndiye hutulinda, lakini kila tukifika hapa huwa tunakuwa salama na hata mtu akiimbiwa vyote vinarudi.
Tushukuru pia kwa ajili ya wote waliofika na ambao ni mara yao ya kwanza kufika kama wale wa Malawi. na yule binti yangu Muamerika ambaye kila kukiwa na tatizo huko huwa anapiga simu na linaisha", akasema Baba Halisi na kuongeza", akasema Baba Halisi na kuongoza shukrani hizo.
Baada ya kufanya Shukurani hizo ikafika wakati wa Baba Halisi kumkaribisha Mgeni rasmi, akasema, "Kabla sijamkaribisha mgeni naomba nifanye utambulisho kwanza ili ajue sisi ni nina ili anapozungumza ajue sisi ni kusanyiko gani.
Ndugu mgeni rasmi sisi ni Kanisa Halisi tumeanzia Tanzania na Sauti tumeisika hapa, na tumeshaisikia mara nne na pia tumeshakuja kuhji hapa mara tano na hii ni mara sita, tangu 2018.
Wapo hapa kutoka mikoka yote Tanzania, Malawi, Zambia, Burundi, Uganda, Kenya, Rwanda, Congo-DRC, Marekani na Msumbiji. kwa hiyo tunaishi kifamilia. Kwa hiyo karibu utukaribishe halafu baada ya wewe kuzungumza ndiyo niweze kusema kilichotuleta".
Mgeni Rasmi;

Bada ya kukaribishwa Mgeni rasmi akasimama na kusema, "Heri Heri, kila mahali kuna salam zake na mimi nimeweza kuishika hiyo" akasema Mgeni Rasmi.
Mgeni rasmi akasema tangu Kanisa Halisi walipoanza Ibada ya Hija Kigoma, Kigoma imebadilika. "Kigoma ya mwaka 2018 nilipohamia, imebadilika, mwaka huo tulikuwa kwenye jitihada za elimu mkatushika mkono pale shule ya Sekondari Buzebazeba kwa hiyo tunawashukuru kwa kuwa washirika wa maendeleo na mnavyoiombea Kigoma na nchi yetu iweze kupata amani.
Tunaomba msituchoke, Baba Halisi bado tuna mahitaji mengi yanayohitaji kusaidiwa, ikiwa itakupendeza fanya jambo", akasema Mgeni rasmi.
Hotuba ya Baba Halisi;
Baada ya mgeni rasmi kumaliza hotuba yake, Baba Halisi alimshukuru kwa hotuba nzuri na upendo wake kwa kanisa Halisi, kisha akaanza kueleza dhima nzima ya Hija hiyo, kwa nini inafanyika Kigoma na kwa nini Ibada hiyo ilikuwa ya kumshukuru Chanzo Halisi kushukia Kigoma kwa njia ya Sauti, na hapa Ndugu msomaji, ndipo palikuwa 'patamu' zaiidi.
"Jambo la kwanza kwa nini tumekuja kushukuru, n Utimilifu wa Matahayo 21:43 katika ule mstari Bwana Yesu zaidi ya miaka 2000 baada ya Wayahudi kumkataa alisema Ufalme utahama kutoka Mashariki ya Kati kwenda Taifa lingine ambalo kwa wakati ule hakulitaja. Sasa baada ya Sauti kusikika mara nne hapa Kigoma, tumejua kumbe Taifa lenyewe ni Tanzania.
Kinachotusababisha tuje kushukuru ni kwamba, Wasomi wa falsafa, saikoloji, theolojia na sayansi wote hatukuwa tunajua Yesu aliseposema Ufalme Utahama kutoka Mashariki ya Kati kwenda Taifa lingine alimaanisha Taifa lenyeewe ni lipi, hadi Sauti ilipokuja kusikika kupitia mji huu (Kigoma) ndiyo sasa tumejua kumbe Taifa lenyewe ni Tanzania.
jambo hili ni kubwa siyo sifa ya mtu, familia fulani, kabila fulani, dhehebu au dini fulani, bali heshima ya jambo hili tumpe yeye aliyeleta sauti tukajua haya. Naomba nisisitize hapa tusimsifu mtu yeyote aliyetusaidia kuyajua haya bali ni Chanzo Halisi mwenyewe aliyetuumba.

Kwa hiyo tumekuja kumshukuru kupitia mahali hapa Sauti iliposikika, na tukiwa tumesimama hapa haina maana ilipitia hapa tulipo (Uwanja wa Lake Tanganyika). Ukiwa umsimama mahala popote mkoa huu basi upo kwenye Sauti. Kwa maana hiyo hata mimi ninayeyasema haya naomba msinitupie mawe, bali mnipende tu, maana nayaeleza kwa upendo.
Jambo la pili ambalo limefanya tuje kushukuru ni kujua maana Halisi ya Kanisa, maana tumesoma na tumeenda mataifa mbalimbali tukawa tunajua Kanisa ni Jengo lenye alama ya Msalaba.
Aliyeanza kutamka msamiati wa neno Kanisa ni Yesu, Katika Matayo (akataja vifungu), Yesu alisema habari ya Kanisa lakini sote hatukuelewa alikuwa anamaanisha nini, pia zaidi ya Miaka 2000 iliyopita watu wa Antokya walikusanyika mahali wakasema, "Sisi ni Kanisa ila hata wao hawakujua maana ya Kanisa.
Jambo la tatu; Sisi tunashukuru kwa kuwa kupitia Sauti tumewe kujua maana Halisi ya Kanisa, tumejua kwamba kumbe Kanisa siyo jengo bali ni Moyo wa yule anayemjua Muumba ni nani na akamuabudu, na tena tunashukuru kwa kuwa kupitia Sauti pia tumejua kuwa Kanisa ni Familia; lina Baba mmoja, Mama Mmoja, Mnara mmoja, Uzao mmoja, Mtetekeleza Sauti Mmoja, Uumbaji mmoja na Uhalisia mmoja na hilo limesababisha tumepuke Ukanda na ukabila.
Jambo la Nne; Tumekuja kushukuru kwakuwa tumejua Sura Halisi ya Kanisa; kwamba Sauti imetufundisha kwamba Kanisa ni Amani, Upendo usiobagua, na uzalishaji vitu mbalimbali.
tumejua pia kwamba Kanisa ni kuamka alfajiri asubuhi uwe tajiri, ukiamka asubuhi umechelea, ukiamka mchana umechelea.
Jambo la tano: Tumejua maana ya Ibada, kumbe Ibada ni Uzalishaji, na tumejifunza katika kitabu mwanzo 1 27 na 28 Adamu angali kitanganjani mwa Mungu, aliambiwa akazalishe alipoumbwa akaonekana kwa macho akaambiwa akazalishe. kwa hiyo kabla na mwanzo aliambia uzalishaji.
Pia tukaja kugundua katika Kitabu cha mwanzo Ibrahim Isaka Yakub Yusuf ibada ya waliyopewa na muumba wao ni kuzalisha. Nikisema hivyo kama mkuu wa dini msinielewe vibaya sina maana watu wasiende kwenye Ibada ila kwenye nyumba za ibada waende kushukuru yale waliyowezeshwa wakiwa shabani, migodi naofisini.
Jambo la sita; Tumekuja kushukuru kwa kuwa sasa tunajua wajibu wa Kanisa kwa Jamii na taifa. Huko nyuma kulikuwepo na msingi ambao haukuwa mzuri ambao tuliuona kwa Musa hakuweza kuelewana na Mfalme Farao, Eliya Mtishibi hakuelewa na mfalme Lahabu, hata yesu hakuelewana na mfalme Herode.
Lakini sisi tumegundua kwamba Efeso 3:10 inasema kwa barabara ya Kanisa watu wote wajue hekima ya mungu ikoje. lakini kupitia Themoteo wa kwanza mlango wa pili, mstari wa 1:4 Kitabu kinasema tukiwanua walioko madarakani kama tunavyofanya kwa wewe mgeni rasmi tutaishi kwa amani na utulivu, ndivyo tunavyofanya kila alfajiri na kila asubuhi na tumeona faida ya kufanya hivyo.
Kwa hiyo tumejua kwamba wajibu wa Kanisa kwa jamii na Taifa siyo kulaumu viongozi wala siyo kuwatukana wala kuwajadili ni kuwaombea wafanikiwe kwa kila kitu. kwa hivyo leo tunashukuru kwa kupitia kufanya hivyo tumeona taifa halina majanga.
Jambo la Saba, ambalo limesabisha tuje kushukuru kupitia Sauti hii tulipoisika ni kujua kwamba Majira hii ni ya nani. Yaani majira tunayoishi sasa ni ya nani. maana usipojua majira unayoishi ni hatari kwako, kwa hiyo tunashukuru kwa sababu tumejua majia ni yanani na kilishosababisha tujue Sauti tuliyosikia hapa imetuelekeza mtiririko wa uumbaji kuanzia Mungu akiwa peke yake hadi leo.
Katika mtiririko huo, Wakwanza ni Moyo wa mwanzo ambao tunausoma katika mwanzo 1:1 Kerubi katika Ezekiel 28:15, Adamu wa Kwanza Mwanzo 2:15, kuanzia 7 wengi wanaamini wa kwanza kuumbwa ni Adam lakini ni watatu, na ufahamu huu tumefundisha na Sauti tuliyosikia hapa.
Wanne ni Mussa katika kutoka 3:10 na hiyo Sauti tunajua wote iliposikika, zile tatu za kwanza hakuna anayejua hasa zilisikika wapi ingawa imeandikwa lakini Mussa tunajua alikuwa wapi wakati anasikia sauti, Eliya Mtishibi Ufalme wa kwanza 1 17: 1 na Wafalme wa kwanza 18 kuabzia 30-40, Wa sita ni Yesu kupitia Matendo 10: 38 ambapo hizi sauti 3 zilisikika Israel, Sauti iliyofuata ilisika hapa Kigoma, Alisikia mtu mmoja anaitwa Adamu wa Pili Eliya, wakorinto wa kwanza 15: 44 mapa 49 imeandikwa, vyuo vya Theologia havikumfafanua sana huyu na madhemu mengi hayafundishi habari za huyu lakini alisikia sauti akiwa hapa.
Na hapa ndipo kulikoanza kutokea shida kutokujuwa kilichotokea baada ya Yesu aliyesema katika matayo13 aliyesema kwamba Eliya atakuja atengeneze yote, Katika Marko10: 9 atakuja arejeshe yote, baaada ya kutofundisha habari za adamu wa pili basi kulitokea shida ya madhemu na dini nyingi kutojua baada ya yesu kitu gani kinafuata.
Laini pia Sauti iliyofuata ilisikika hapa (Kigoma), mwaka 2015 kupitia Isaya 33: 6 ambayo ilitakiwa ilete majira imara, na sauti iliyofuata ni nafsi ya kwanza kati ya zile tatu za Mungu tunazosoma katika Yohana wa kwanza 5: 8 nayo ilisikika hapa 2019 ya Mara ya nne ni Chanzo Halisi Mwenyewe 2020 ambayo ilikuja kufuta janga la Korona. Tumekuja kushukuru baada ya hayo kutokea.
Kwa hiyo hapa Sauti zimesikika nne baada ya Yesu, ambazo zinaleta mwendeleo wa Kitabu kinachoitwa Biblia, kile kitabu hakijawahi kusimama kimekuwa na mwendelezo mara nne kupitia hapa Kigoma, ingawa wengi hawajui na wanaojua hawataki kusema, ila leo sisi tumekuja kushukuru kwa sababu hii ni kweli, kwa hiyo majira hii siyo ya mwana tena bali ni ya Muumba.
Kitu cha nane ambacho kimefanya tuje kushukuru hapa ni baada ya Taifa hili kuwa taifa Baba. hapa naomba mnisikilize vizuri kwa wale mnaojua kiingereza kila taifa pronoun yake huwa ni She Siyo he, ni Wajerumani tu ambao waliwahi kuwa na Makao Makuu yao hapa wakati wa German East Africa ndiyo Pronoun yao ilikuwa he, ingawa haitangazi sana.
kwa hiyo ni kitu gani kinasababisha Taifa liitwe Taifa Baba, Ili muwe Taifa Baba kuna mambo mawili lazima muwe nayo. kwanza lazima muwe na bustani ambalo limeandikwa katika Kitabu pili lazima muwe Shamba.
Sasa katika Kitabu zimeandikwa bustani tatu zinazoonekana waziwazi, ile Bustani ya Kerubi katika ezekel 28: 12-15, eden mwanzo 2 7:15, na ya Ibrahhim katika Mwanzo 13: 10 lakini zote hizo zilizchuliwa, wale watendao haki hawakuwa na hiyo bustani. Wale mliokuwa mnawaona wana maendeleo sana ndiyo walikuwa na hizo bustani.
Sasa Sauti iliyopitia hapa ndiyo imekuja na Bustani Halisi ambayo ipo taifa hili. Faifa ya kuwa na Bustani kila sera mnayotunga inaenda mbele. ila kama hamna bustani hata mngekuwa na sera nzuri kiasi gani hamna kinachofanyika.
Ndiyo maana katika kipindi kile mliokuwepo miaka ya 60 na miaka ya 70, mnakumbuka mwaka 75 tulikuwa na sera ya viwanda na sera ya kujitosheleza tukiwa na wataalam wetu lakini haikuwa rahisi kwa sababu hatukuwa na bustani. ila sasa hivi kila kinachotungwa kizuri kinatekelezeka maana tuna bustani.
na kwa wale mnaoishi Ulaya na Amerika ni mashahidi kwamba siku hizi watu weusi wamepanda chati kwa sababu bustani ipo huku,
Nikisema bustani maana yake ni maisha, sina maana ya maembe au machungwa, ni maana ya maisha yaliyokusudiwa, kwa hiyo tunaposema Bustani ya Kerubi, Bustani ya Adamu nina maana Maana yake maisha ya Kerubi ya kuimba na kumsifu aliyemuunga, Maisha ya adamu ya kutaja wanyama wote Mungu akasema ni kweli, Maisha ya Ibrahimu ya kuambiwa yeye ni Baba wa Mataifa yote. Sasa hivi Bustani yaani maisha yaliyokusudiwa yapo hapa.
Nikisema Shamba nina maana ya moyo mzuri, uliokusudiwa kwa hiyo sahamba halisi sasa lipo hapa, hata kama mnaona kuna wakorofi wakorofi lakini kilichokusudiwa ni moyo mzuri. kwa hiyo usiangalie kuna mkorofi we angalia Moyo mzuri uliokusudiwa.
Kwa hiyo tunashukuru kwamba Taifa sasa linaitwa Taifa Baba, kupitia Sauti iliyosikika hapa Bustani na Moyo vipo hapa ndiyo tumekuja kushukuru. Tusiwe tunaomba bila kushukuru.
Kwa hiyo sasa, haya yote niliyosema ndiyo yanayosababisha Hija moja iwe hapa, maana tulipokuwa tukienda Mashariki ya Kati tulikuwa tunaenda kusikiliza Sauti ya ambayo Mussa alisikia akiwa kule, Sauti ambayo Eliya Mtishibi alisikia akiwa kule, Sauti ambayo Yesu aliyosikia akiwa huko na kwa upande wa Ishmail Sauti ya Muhammad (S.A.W) alisikia kule. Sasa sauti imesikika hapa siyo suala la kutafuta umaarufu bali ni kweli sauti imesikika hapa.
Sasa nina ombi katika yote niliyosema hapa. Huku nyuma Kama ungekutana na Moyo wa Mwanzo, Kerubi, au Nuhu au Yesu angekuambia kama umesikia sauti ya Mungu mkeo hahusiki, watoto wako hawahusiki na jamii hahusiki, sasa hivi siyo hivyo, kila mtu anahusika, hadi taifa linahusika.
Na leo nataka wote mshukuru kwa kutoa matunda kwa Chanzo Halisi nisipate baraka peke yangu.
Mnajua kilichowaponza mashariki ya Kati hata Yesu akawaambia Ufalme utahama hawakujali, leo lazima tujali sisi, waliona kama ni ujanja wa yesu, sasa msije mkaona ni ujanja wangu. Na hayo mambo siyaongei kwa mbwembwe, nazungumza kwa unyenyekevu na upendo", Baba Halisi akahitimisha hotuba yake.
Baada ya Hotuba hiyo ya kusisimua, Baba Halisi akamkabidhi Mgeni rasmi Kitabu cha Ufahamu ulianzia Tanzania kwenda Mataifa Mengine ili kitabu hicho kikawe zawadi kwa Mkuu wa mkoa wa Kigoma na kuwa baraka kwa mkoa huo.

"Sasa nitatoa zawadi ya Kitabu kwa Mkuu wa mkoa huu, nitakukabidhi wewe Mgeni rasmi ili umfikishie kikawe baraka kwa mkoa huu, nimeandika kwa muda wa miaka mitano mfululizo kutokana na Sauti ilisikika hapa", akasema Baba Halisi na kufanya hivyo. Kisha akafanya Shukrani ya kumruhusu mgeni kuondoka mwishoni mwa Ibada.
Baada ya Ibada hiyo nilipata nafasi ya kuzungumza na baadhi ya waliohudhuria wengi wakatoa maoni chanya.
"Kwa kweli Hija ya Hawa Kanisa Halisi naona inatunufaisha Kigoma, tangu wafike hapa jana tumefanya biashara, leo nimeuza chakula hadi kimeisha, kila nikisonga ugali wa kutosha unaisha, nikisonga tena unaisha. nimesogna mara tatu hadi nikaishiwa unga", akasema Mariamu Kavula mkazi wa Mwanga Majengo.
"Kwa kweli nimenufaika sana na hii Hija yao, Lodge yangu ina vyumba 16, huwa haijai wageni, lakini tangu jana walipokuja hawa Kanisa Halisi, vyumba vyote vilijaa, nawaombea hii Hija yao idumu", akasema Joseph Bigirimana, ambaye ni raia wa Burundi anayefanya biashara zake mjini Kigoma.
"Jamani kwa kweli Baba Halisi muacheni aitwe Baba Halisi, ukimsikiliza anayosema unaweza kusema huyu ametumwa na Mungu, leo nimemsikiliza kwa makini sana wakati anahubiri, yale maneno yameniingia kichwani, itabidi nikayafanyie kazi", akasema Tausi Mwilima, mkazi wa Mwandiga wilaya ya Kigoma Vijijini ambaye alifika kwenye tukio hilo la Ibada ya Hija.
Baba Halisi akimkabidhi Mgeni rasmi Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma - Ujiji Fredinand Filimbi Kitabu cha Ufahamu Ulioanzia Tanzania kwenda Mataifa Mengine, wakati wa Ibada hiyo ya Hija Moja Halisi, iliyofanyika Uwanja wa CCM wa Lake Tangayika mjini Kigoma, Jumapili, Januari 29, 2023, sawa na 26 Thebeti, Majira Halisi. Baba Halisi alisema Kitabu hicho amekiandika kwa miaka mitano na ni mwendelezo wa Biblia. amemkabidhi mgeni rasmi ikiwa ni zawadi kwa Mkuu wa mkoa wa Kigoma.
KAMA TUKIO LILIKUPITA TAFADHALI TAZAMA PICHA ZAIDI YA 100 ZA MTIRIRKO WA TUKIO HILO TANGU MWAZO HADI MWISHO, NA KAMA ULISHAZIONA NAKUOMBA UJIKUMBUSHE👇
Mahujaji wakiwa nje ya Kanisa Halisi Kituo cha Kigoma, eneo la Mwanga muda wa asubuhi ambako Mahujaji walifanya Ibada kabla ya kwenda Uwanja wa Lake Tanganyika.
Moja Halisi akiendesha Ibada kwenye Kanisa hilo la Mwanga
Mahujaji wakiwa kwenye Ibada hiyo.
Mahujaji wakiwa nje ya Kanisa kwenye Ibada hiyo. mahujaji wakiwa kwenye Uzalishaji nje ya Kanisa kwenye Ibada hiyo. Uwanja wa Lake Tanganyika👇
Mahujaji wakisubiri kuingia Uwanja wa Lake Tanganyika.
Baadhi ya Mahujaji wakijiandaa vema kuingia Uwanjani.
Meneja wa Uwanja wa lake Tanganyika Katibu wa CCM Kata ya Rubuga Ujiji Shabani Rajabu akikagua mazingira nje ya Uwanja huo.
Mahujaji wakisubiri kuingia Uwanja wa Lake Tanganyika. Mahujaji wakiendelea kuwasili Uwanja wa Lake Tanganyika. Baadhi ya Mahujaji wakiwa ndani ya Uwanja wa Lake Tanganyika. Baadhi ya Mahujaji wakigaragara kuomba toba kwa Mungu Baba.
Moja Halisi akitoa maelekezo ya namna ya ukaaji Uwanjani.
Baadhi ya Mahujaji wakiwa ndani ya Uwanja.
Wananchi wa Kawaida wakiwa Uwanjani.
Mahujaji wakiwa uwanjani huku wakifuarhi Baba Halisi alipokaribia kuingia Uwanjani.
Mahujaji wakifurahi Baba Halisi aliokuwa akikaribia kuwasili uwanjani.
"Sasa ndiyo Baba Halisi anawasili" akatangaza Moja Halisi
Watekeleza Sauti kutoka mikoa mbalimbali wakiwa wamejipanga Uwanjani kumsubiri Baba Halisi.
Watekeleza Sauti wakishangilia Baba Halisi alipokuwa anaingia Uwanjani.
Polisi wakiongoza msafara wa Baba Halisi kuingia Uwanjani.
Baba Halisi akiwasili Uwanjani.
Baba Halisi akilakiwa na Watekeleza Sauti. Kulia ni afisa Usalama akihakikisha mambo ni sawa kabla ya Baba Halisi kushuka kwenye gari.
Afisa Usalama akimfungulia mlango Baba Halisi.
Baba Halisi akiwa ameshuka kwenye gari huku Afisa Usalama (kushoto) akihakikisha hali ya usalama..
Baba Halisi akipanda jukwaani. nyuma yake ni Mnara Mmoja Halisi.
Watekeleza Sauti wakionyesha furaha Baba Halisi kuwasili Uwanjani.
Mtekeleza Sauti akionyesha furaha Baba Halisi kuwasili Uwanjani.
Baba Halisi akawasili Meza Kuu. Kulia kwake ni Mgeni Rasmi.
Baba Halisi akifurahia wimbo uliokuwa ukiimbwa kumkaribisha.
Watekeleza sauti na Waalikwa wakifuahi.
Mahujaji wakiwa wamesimama baada ya Baba Halisi kuwasili Uwanjani.
Waalikwa akifurahi.
Watekeleza Sauti wakiteta jambo. Kushoto ni wa kutoka Arusha.
Watekeleza Sauti wakiteta jambo. Kula ni wa kutoka Zanzibar.
Watekeleza Sauti wakishiriki kuimba wimbo wa kumtukuza Chanzo Halisi.
Mahujaji wakicheza kwa furaha.
Mahujaji wakicheza kwa furaha.
Mahujaji wakicheza kwa furaha. Baba Halisi akipepea kitambaa na Mama Halisi akitikisa njuga kufuarhia wimbo.
Mahujaji wakitamba Uwanjani kufurahia wimbo.
Mahujaji wakitamba Uwanjani kufurahia wimbo. Wanamuziki ambao pia ni Mahujaji wakiselebuka jukwaani wakati wakiimba wimbo wa kumuinua Chanzo Halisi. Wapiga domo la Bata King Maluu na mwezake wakinogesha wimbo.
Wanamuziki wakicharaza vyombo.
Wanamuziki wakicharaza vyombo. Wanamuziki wakizidi kukoleza wimbo. Watekeleza Sauti na huyu Ustahi wakifurahia.
"Heri Heri mliobarikiwa na Chanzo Halisi", Baba Halisi akasalimia makutano.
"Karibuni wote.. Sasa tufanye shukrani kubariki mgeni wetu Rasmi kufika mahala hapa na woote mliofika hasa wale ambao ni kwa mara ya kwanza", akasema Baba Halisi
Kisha akafanya shukrani hiyo.
Kisha akazungumza kutafnya utambulisho Mgeni Rasmi ajue waliopo ni kina nani.
Akaendelea kutambulisha.
Kisha Baba Halisi akamkaribisha mgeismi kuzungumza.
Baba Halisi na Mama Halisi wakifurahia miongoni mwa maneno aliyosema geni rasmi.
"Kwa kweli tangu mje kufanya Hija hapa Kigoma, Kigoma imebadilika, Upande wa Elimu mlitushika mkono kuboresha Shule ya Sekondari ya Buzebazeba. tunawashukuru kwa kusaidia huduma za jamii na kiombea mema Kigoma na taifa", akasema Mgeni Rasmi. Huku Baba Halisi na Mama Halisi wakimsikiliza kwa upendo.
Baada ya mgeni rasmi kumaliza hotuba yake, Baba Halisi akafanya Shukrani ya Mgeni rasmi.
Moja Halisi akiendesha Ibada kwenye Kanisa hilo la Mwanga
Mahujaji wakiwa kwenye Ibada hiyo.
Mahujaji wakiwa nje ya Kanisa kwenye Ibada hiyo. mahujaji wakiwa kwenye Uzalishaji nje ya Kanisa kwenye Ibada hiyo. Uwanja wa Lake Tanganyika👇
Mahujaji wakisubiri kuingia Uwanja wa Lake Tanganyika.
Meneja wa Uwanja wa lake Tanganyika Katibu wa CCM Kata ya Rubuga Ujiji Shabani Rajabu akikagua mazingira nje ya Uwanja huo.
Mahujaji wakisubiri kuingia Uwanja wa Lake Tanganyika. Mahujaji wakiendelea kuwasili Uwanja wa Lake Tanganyika. Baadhi ya Mahujaji wakiwa ndani ya Uwanja wa Lake Tanganyika. Baadhi ya Mahujaji wakigaragara kuomba toba kwa Mungu Baba.
Moja Halisi akitoa maelekezo ya namna ya ukaaji Uwanjani.
Baadhi ya Mahujaji wakiwa ndani ya Uwanja.
Wananchi wa Kawaida wakiwa Uwanjani.
Mahujaji wakiwa uwanjani huku wakifuarhi Baba Halisi alipokaribia kuingia Uwanjani.
"Sasa ndiyo Baba Halisi anawasili" akatangaza Moja Halisi
Polisi wakiongoza msafara wa Baba Halisi kuingia Uwanjani.
Baba Halisi akiwasili Uwanjani.
Baba Halisi akilakiwa na Watekeleza Sauti. Kulia ni afisa Usalama akihakikisha mambo ni sawa kabla ya Baba Halisi kushuka kwenye gari.
Afisa Usalama akimfungulia mlango Baba Halisi.
Baba Halisi akiwa ameshuka kwenye gari huku Afisa Usalama (kushoto) akihakikisha hali ya usalama..
Baba Halisi akipanda jukwaani. nyuma yake ni Mnara Mmoja Halisi.
Watekeleza Sauti wakionyesha furaha Baba Halisi kuwasili Uwanjani.
Baba Halisi akawasili Meza Kuu. Kulia kwake ni Mgeni Rasmi.
Baba Halisi akifurahia wimbo uliokuwa ukiimbwa kumkaribisha.
Watekeleza sauti na Waalikwa wakifuahi.
Waalikwa akifurahi.
Watekeleza Sauti wakiteta jambo. Kushoto ni wa kutoka Arusha.
Watekeleza Sauti wakiteta jambo. Kula ni wa kutoka Zanzibar.
Watekeleza Sauti wakishiriki kuimba wimbo wa kumtukuza Chanzo Halisi.
Mahujaji wakicheza kwa furaha.
Mahujaji wakicheza kwa furaha.
Mahujaji wakicheza kwa furaha. Baba Halisi akipepea kitambaa na Mama Halisi akitikisa njuga kufuarhia wimbo.
Mahujaji wakitamba Uwanjani kufurahia wimbo.
Mahujaji wakitamba Uwanjani kufurahia wimbo. Wanamuziki ambao pia ni Mahujaji wakiselebuka jukwaani wakati wakiimba wimbo wa kumuinua Chanzo Halisi. Wapiga domo la Bata King Maluu na mwezake wakinogesha wimbo.
Wanamuziki wakicharaza vyombo.
Wanamuziki wakicharaza vyombo. Wanamuziki wakizidi kukoleza wimbo. Watekeleza Sauti na huyu Ustahi wakifurahia.
"Heri Heri mliobarikiwa na Chanzo Halisi", Baba Halisi akasalimia makutano.
"Karibuni wote.. Sasa tufanye shukrani kubariki mgeni wetu Rasmi kufika mahala hapa na woote mliofika hasa wale ambao ni kwa mara ya kwanza", akasema Baba Halisi
Kisha akafanya shukrani hiyo.
Kisha akazungumza kutafnya utambulisho Mgeni Rasmi ajue waliopo ni kina nani.
Akaendelea kutambulisha.
Kisha Baba Halisi akamkaribisha mgeismi kuzungumza.
Baba Halisi na Mama Halisi wakifurahia miongoni mwa maneno aliyosema geni rasmi.
"Kwa kweli tangu mje kufanya Hija hapa Kigoma, Kigoma imebadilika, Upande wa Elimu mlitushika mkono kuboresha Shule ya Sekondari ya Buzebazeba. tunawashukuru kwa kusaidia huduma za jamii na kiombea mema Kigoma na taifa", akasema Mgeni Rasmi. Huku Baba Halisi na Mama Halisi wakimsikiliza kwa upendo.
Baada ya mgeni rasmi kumaliza hotuba yake, Baba Halisi akafanya Shukrani ya Mgeni rasmi.
Kisha akawakaribisha Bendi kupiga wimbo Maalum wa Hija ipo Kigoma, nao wakauporomosha huku wakicheza vilivyo👇
👇
Hakika Wanamuziki walitia fora katika kucheza maana walionekana kutumia nguvu zao zote vilivyo kwa ajili ya Chanzo Halisi. Mtazame huyo wa kulia, usidhani anacheza Sarakasi, hapana, anacheza muziki huo😁.
Mahujaji wakifurahia wimbo huo.
Mahujaji na waalikwa wakifurahia wimbo huo.

Baada ya Viwanja 'kuwaka moto' kwa wimbo wa 'Hija ipo Kigoma Baba Halisi kutoa hotuba yake👇
Heri Heri mliobarikiwa na Chanzo Halisi (akasalimia).
Kisha akaeleza kwa kina sababu ya Kanisa Halisi kufika Kigoma kufanya Ibada ya Shukrani kwa Chanzo Halisi kushukia Kigoma kwa Barabara ya Sauti.
Akataja sababu zaidi ya Saba huku akitoa ufafanuzi naye Mgeni rasmi (kushoto) na Mama Halisi wakimsikiliza kwa makini. Kisha akakabidhi kwa mgeni rasmi Kitabu Cha Ufahamu Ulioanzia Tanzania kwenda Mataifa Mengine👇
Akamkabidhi kitabu hicho kwa Mgeni rasmi.
"Ndugu Mgeni rasmi, Unajua Biblia haikuwahi kusimama, sasa Kitabu hiki ni mwendelezo wake, nimekiandika kwa muda wa miaka mitano. Basi nakukabidhi ikiwa ni zawadi kwa Mkuu wa mkoa wa Kigoma, naomba umfikishie iwe baraka kwa mkoa", akasema Baba Halisi akikabidhi kitabu hicho.
Kisha akafanya Shukranni. Halafu ukaimbwa wimbo wa kusindikiza tukio hilo👇
"Sasa hapa meza kuu atabaki mgeni rasmi tu, halafu wote mtashuka pale Uwanjani, kisha nitazunguka Uwanja wote ili kila aliyepo humu apate baraka za Chanzo Halisi" akasema Baba Halisi. Kisha akashuka na kuanza kufanya hivyo akinyunyiza Damu Safi Nyeupe (Maji). Hivi👇

Kisha akamwesha 'damu safi nyeupe' kumbariki Hujaji aliyekuwa karibu yake.
Kisha Mahujaji wakamiminika kutoa Matunda (Sadaka) ya Shukran kwa Chanzo Halisi.
Katibu wa CCM Wilaya ya Kigoma Mjini Ahmed Kalonga (kulia) pia alihudhuria Ibada hiyo ya Hija
Mahujaji wakiwa wamesimama kushuhudia kinachoendelea. Huyu wa kulia ni Hujaji kutoka mkoa wa Kagera.
Hujaji akionyesha furaha yake.
"Heri Heri, sasa naomba tumruhusu mgeni wetu rasmi aondoke", akasema Baba Halisi.
Mgeni Rasmi (kulia) akishuka ngazi kuondoka.
Baba Halisi akiingia katika moja ya mabasi yaliyosafirisha Mahuja, kuyatia mabara ili Mahujaji hao warejee nyumbani salama.
Baba Halisi akibariki basi la Mahujaji.
Kisha akamuita Dereva wa basi hilo kumbariki kwa niaba ya madereva wenzake wa safari hiyo ya Mahujaji.
Baada ya kumaliza kuyabariki Mabasi akarejea kwenda kupanda gari lake kwa ajili ya kuondoka Uwanjani. Hakika mimi ni mmoja wapo wa waliosafiri na Mahujaji kutoka Dar kwenda Kigoma na kurudi. Hakika katika mabasi yote 20 yaliyosafirisha Mahujaji hakuna hata moja lililopatwa na tukio baya kwenda na kurudi.
Baba Halaisi akipanda gari lake kuondoka Uwanjani baada ya Ibada hiyo ya Hija.
Gari la Baba Halisi lenye namba za Usajili BABA HALISI likiwa tayari kumsafirisha baba Halisi kutoka Uwanjani.
Gari la Polisi likiongoza msafara wa Baba Halisi kuondoka Uwanjani.
Mahujaji wakimuaga Baba Halisi.
Mtekeleza Sauti kutoka Marekani (katikati) akiwa katika Picha ya kumbukumbu na Watekeleza sauti wenzake baada ya Hija. (wa kulia ni kutoka Njombe.
Mahujaji kutoka Dar es Salaam wakijiandaa kuondoka Uwanjani. ©Feb. 2023 CCM Blog/Bashir Nkoromo
Post a Comment