Featured

    Featured Posts

MWANYIKA ASIKITIKA MAAMUZI YA BARAZA LA BIASHARA KUTOTEKELEZWA KWA WAKATI+video


 Mbunge wa Njombe Mjini, Deo Mwanyika, akichangia hoja taarifa za utekelezaji za kamati ya Katiba na Sheria na Sheria Ndogo Ndogo zilizowasisilishwa bungeni Dodoma Febrari 8, 2023, amesikitishwa na na kitendo cha maamuzi ya Baraza la Taifa la Biashara kutotekelezwa kwa wakati.Aidha, amesema kuwa itakuwa tija sheria zetu kuwa katika lugha mbili ya kiingereza na kiswahili lakini pia suala la ucheleweshwaji wa utekelezaji wa hukumu.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwanyika akitoa mchango wake huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana