Featured

    Featured Posts

PROF. NDAKIDEMI: TUSIPOTUNZA VYANZO VYA MAJI TUTAHARIBIKIWA+video

Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi akichangia hoja bungeni jijini Dodoma Januari 31, 2023 amesema mbele ya safari tutaharibikiwa kwani hatutoweza kupata vyakula na maji ya kunywa.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video,Prof. Ndakidemi akitahadharisha  uharibifu wa vyanzo hivyo vya maji...

 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 

MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 

0754264203

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana