Magazeti ya leo, gazeti la mwananchi, global publisher, habari leo, habari mpya, ippmedia,magazeti ya leo tanzania, magazeti ya udaku, michuzi, michuzi blog, mpekuzi huru, mwananchi, mwanaspoti,nipashe, sekretarieti ya ajira
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA), Mhandisi Benedct Ndomba akizungumza katika mkutano na vyombo vya habari kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari-MAELEZO jijini Dodoma Februari 23, 2023, kuhusu utekelezaji wa majukumu ya mamlaka hiyo.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akizungumza maneno ya utangulizi wakati wa kumkaribisha Mkurugenzi Mkuu wa eGA, Mhandisi Ndomba.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari -MAELEZO, Zamaradi Kawawa akiongoza mkuta huo.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mhandisi Ndomba akielezea mafanikio hayo...IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
Post a Comment