Featured

    Featured Posts

WANAOCHEZEA FEDHA MBICHI ZA SERIKALI KIFUNGO MIAKA 20 - TAKUKURU

 


 Kamanda waTaasisi ya Kuzuia Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Dodoma, Sosthenes Kibwengo amesema kuwa kosa la rushwa ikiwemo kufuja fedha mbichi za serikali bila kupeleka benki, watakaopatikana na hatia mahakamani watakubwa na adhabu ya kifungo cha miaka 20 na kurejesha fedha zilizofujwa.Amebainisha hayo alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari ofisi za TAKUKURU Mkoa wa Dodoma Februari 15,2023.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Kibwengo akielezea hayo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana