Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Bernard Konga akitoa ufafanuzi mbele ya vyombo vya habari jijini Dodoma Machi 14, 2023, kuhusu uboreshaji katika utaratibu wa usajili wa watoto kupitia Mpango wa Toto Afya Kadi.
Konga akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo.
Baadhi ya maafisa wa mfuko huo wakiwa katika mkutano huo.
Wanahabari wakisikiliza kwa makini Mkurugenzi Mkuu, Konga akitoa ufafanunuzi huo.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mkurugenzi Mkuu wa NHIF akielezea faida ya uboreshaji huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment