Featured

    Featured Posts

RC SENYAMULE AZINDUA KITUO CHA DALADALA SOKO LA MACHINGA DODOMA+video






Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amezindua kituo kipya cha daladala karika soko jipya la Machinga katika makutano ya barabara ya Arusha na Bahi jijini Dodoma Machi Mosi, 2023, ambapo daladala kutoka sehemu mbalimbali za jiji hilo zitakuwa zinashusha na kupakia katika soko hilo.
Daladala zikiwa kituoni hapo



RC Senyamule akihutubia

Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma akihutubia na kueleza mikakati 



Sehemu ya wamachinga




Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, RC Senyamule akihutubia...






 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana