Featured

    Featured Posts

ASKOFU CHANDE AIPONGEZA SERIKALI KUFUNGA SHULE ZA BWENI KWA WATOTO ILI KULINDA MAADILI+video

ASKOFU Dkt. Evance Chande wa Kanisa la Karmeli Assemblies of God (KAG),  akihubiri wakati wa Ibada ya Pasaka kanisani kwake Ipagala, jijini Dar es Salaam Aprili 9, 2023, ambapo alielezea kwa undani yanayosababisha mmomonyoko wa maadili na kuipongeza serikali kufunga shule zote za bweni kwa watoto wadogo ili wazazi wapate muda wa kuwalea kimaadili.aliokuwa chini ya umri wa miaka 18
Waumini wa kanisa hilo wakisikiliza kwa makini mahubiri ya Askofu Chande.






Kwaya za kanisa hilo zikitumbuiza wakati wa ibada hiyo.




                                                           Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya , Askofu Chande akihubiri jambo hilo...IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana