Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Mkoa wa Dodoma, Samwel Malecela (kushoto) akitoa maelezo kwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu, Waziri wa Madini, Dkt Dotto Biteko kuhusu shule ya Kurio iliyotelekezwa walipotembelea shule hiyo jana Aprili 29,2023 iliyopo Kata ya Kwamtoro wilayani Chemba. Kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba, Said Sambala.
Viongozi hao wameonesha nia ya kuifufua shule hiyo iliyojengwa kwa mahususi kwa ajili ya watoto wa jamii ya wawindaji ya kabila la wasandawe na wengine wanaoishi eneo hilo
Chumba cha maabara
Wakiondoka baada ya kukagua shule hiyo ambayo itahitaji ukarabati mkubwa ili ianze kufanya kazi.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
Post a Comment