Featured

    Featured Posts

DKT MPANGO ANENA MAKUBWA UZINDUZI WA MCHAKATO WA MAANDALIZI YA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050


Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango  akizindua wa Mchakato wa Maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Aprili 3,2023.


Dkt. Mpango (katikati) akiwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM Taifa), Komredi  Daniel Chongolo (wa pili kushoto), Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango,




Wageni waalikwa wakiwa wamesimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa.


Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumisi wa Umma naUtawala Bora, George Simbachawene akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa wizara hiyo, Ridhiwani Kikwete 

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akijadiliana jambo na Mbunge wa Mchinga, Mama Salma Kikwete,
Baadhi ya wabunge waliohudhuria uzinduzi huo.
Waziri wa Madini, Dotto Biteko akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mbarouk Nassoro Mbarouk.
MamaSalma Kikwete akibadiliashana mawazo na  Msajiri wa Hazina, Nehemia Mchechu (kushoto) na Gavana wa Benki Kuu, Emmanuel Tutuba

Naibu Waziri wa Maji, Maryprica Mahundi akiwa na George Simbachawene.
Gavana wa Benki Kuu akizungumza na baadhi ya mawaziri.
Waziri wa Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Proifesa Joyce Ndalichako akizungumza na baadhi ya mawaziri wenzie.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini akizungumza na Meya wa Jiji lA Dodoma, Profesa  Davis Mwamfupe. Kulia ni Katibu wa CCM Mkoa wa Dodoma, Pili Augustine.


Msajiri wa Hazina, Nehemia Mchechu (kushoto) akijadiliana jambo na Gavana wa Benki Kuu, Emmanuel Tutuba




PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Mpango akihutubia wakati wa uzinduzi huo...




IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana