Featured

    Featured Posts

RAIS SAMIA AWAHAMISHA VITUO POLEPOLE NA YACOUB, AMTEUA ALIYEKUWA KONSELI MKUU DUBAI KUWA BALOZI

Na CCM Blog

Rais Samia Suluhu Hassan amewahamisha vituo vya kazi Mabalozi Humphrey Polepole kutoka Malawi kwenda Cuba na Lt. Jenerali mstaafu Yacoub Mohamed kutoka Uturuki kwenda UAE. 


Taarifa ya Ikulu imesema Rais Samia pia amemteua aliyekuwa Konseli Mkuu Dubai Iddi Seif Bakari kuwa Balozi na kumpangia Ubalozi  nchini Uturuki.


"Tarehe ya uapisho wa Balozi Bakari itatangazwa baadae", imesema taarifa hiyo.

Rais Samia
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana