Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Denis Londo akiwasilisha taarifa kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Ofisi ya Rais (TAMISEMI) kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 pamoja na Maoni ya Kamati kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
Post a Comment