Featured

    Featured Posts

SPIKA DKT TULIA AIPONGEZA NMB KUFUTURISHA WABUNGE

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Tulia Ackson ameupongeza uongozi wa Benki ya NMB kufuturisha wabunge na watumishi wa bunge katika hafla ilioambatana na maadhimisho ya miaka 25 ya kuanzishwa kwa benki hiyo. Hafla hiyo imefanyika kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Aprili 14, 2023.
Mwenyekiti wa Bodi wa Benki ya NMB, Dkt. Edwin Mhede.
Afisa Mkuu Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Filbert Mponzi 
Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajab akitoa shukrani kwa uongozi wa NMB kuwaandalia futari wabunge na waumini wa Dini ya Kiislam hasa wakati huu wa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Wenyeviti wa Bunge, Daniel Sillo (kushoto), Najma Giga (katikati) na Mwenyekiti wa Waislamu Wabunge, Hussein Amar.
Baadhi ya waalikwa wakipata futari.

Baadhi ya wabunge na watumishi wa Bunge wakipata futari.







Spika Tulia akipongezwa na viongozi kwa hotuba nzuri.
Dkt. Tulia akipongezwa na na Mwenyekiti wa Bodi ya NMB, Dkt. Mhede.
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia akiwa katika picha za kumbukumbu na viongozi pamoja na waalikwa.

Akiwa na baadhi ya wenyeviti wa Bunge, Daniel Sillo (waliosimama katikati), Najma Giga (kulia) na Mwenyekiti wa Waislamu Wabunge, Hussein Amar.



 Waziri wa TAMISEMI, Angela Kairuki akiwa na baadhi ya maafisa wa benki ya NMB.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana