Mbunge wa Mikumi, Denis Londo ameibana serikali bungeni Dodoma Aprili14, 2023, kuwa ni lini watanzania wanaoishi ughaibuni watapatiwa hadhi na hati ya uraia?
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Londo akihoji swali hilo na kujibiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Mbarouk Nassoro Mbarouk....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment