Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mbarouk Nassoro Mbarouk ameliambia bunge jijini Dodoma Aprili 14, 2023, kuwa serikali imo mbioni kuwapatia watanzania wanaoishi nje ya nchi (DIASPORA) hadhi na hati maalumu ya uraia.
AIdha, amesema kuwa Diaspora wamekuwa wakichangia uchumi wa nchi ambapo kwa mwaka uliopita wametuma nchini zaidi yash. trilioni 2.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbarouk akielezea kuhusu uamuzi huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment