Mbunge wa Itilima, Njalu Silanga ameitaka serikali kuiongezea fedha Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (TARURA) ili barabara na madaraja yajengwe katika wilaya ya Itilima. Ametoa ombi hilo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya TAMISEMI bungeni Dodoma Aprili 17, 2023.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Silanga akitoa mchango wake huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment