Mbunge wa Rungwe, Anton Mwantona amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kuipatia Rungwe fedha nyingi za miradi ya maendeleo.
Aidha ameiomba serikali kuiongezea fedha Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (TARURA) ili kuongeza kasi ya ujenzi wa barabara katika jimbo hilo.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwantona akitoa pongezi hizo na kuomba TARURA iongezewe fedha...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment